MILIONI 455 KUSAMBAZA MITUNGI YA GESI 22,000 TABORA
Na Mwandishi Wetu TABORA Wakala wa Nishati Vijijini (REA) umetoa kiasi cha shilingi milioni 455.7 kwa ajili ya kusambaza mitungi ya gesi ipatayo 22,785 mkoani Tabora ukiwa na lengo la kuhamasisha na kuchochea matumizi ya nishati safi ya kupikia nchini. Hayo yamebainishwa leo Novemba 22, 2024 na Mkurugenzi wa Teknolojia za Nishati Jadidifu na Mbadala, […]