HOSPITAL YA RUFAA AMANA YAWA KINARA WA KUTOA HUDUMA BORA KWA JAMII
Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM WAMACHINGA Hospital ya Amana yapata Tuzo ya mshindi wa kwanza Katika hutoaji huduma Bora Kwa jamii Kwa hospital zote 28 za rufaa za mikoa Ameyasema hayo 11 April 2025 Katibu Tawala wa mkoa Dkt Toba Nguvila wakati akipokea Tuzo hiyo Katika hospital ya Amana Jana na kusema kuwa Napongeza […]