JOHN BOCCO ATIMKIA JKT TANZANIA
KLABU ya JKT Tanzania imetangaza kumsajili mkongwe John Bocco kwa ajili ya msimu wa 2024/25 kwa mkataba wa mwaka mmoja. Simba ilimkabidhi majukumu Bocco kuwa kocha mkuu wa kikosi cha Vijana wenye umri chini ya miaka 17 msimu wa 2023/24 ukielekea ukingoni. โHakuna muda wa kupoteza ๐ช โTOP SCORER OF ALL TIMEโ ameshaanza mazoezi,โimesema taarifa […]