HOSPITAL BINAFSI KUGOMEA KITITA CHA NHIF
WAKATI NHIF ikitangaza kuanza kwa matumizi ya kitita kipya kuanzia siku ya Ijumaa, Chama cha Wenye Hospitali Binafsi (APHFTA) kimetangaza tena kugomea kuwahudumia wanachama wa NHIF wakisema kuwa watapata hasara na hatimaye kufunga kutoa huduma. Chama hicho kinasema kuanza kutumika kwa kitita hicho kutazifanya hospitali nyingi binafsi kufa kifo cha asili natural death kwani zitashindwa […]