Wanazuoni wameliomba Jeshi la polisi kuendana na mabadiliko ya Dunia ya Tehama
Wasomi na wanazuoni wameliomba Jeshi la Polisi kuendana na mabadiliko ya duniani ya sasa ambayo imejikita zaidi katika tehama na tafiti ambazo zitaleta tija katika jamii na Taifa kwa ujumla husasani katika kukabiliana na uhalifu ukiwemo wa kimtandao ambao umeshika kasi kwa sasa Akizungumza mara baada ya kukabidhi vitabu zaidi ya mia tano vilivyo katika […]