MNDEME ATIA NIA UBUNGE KIGAMBONI,ASEMA ATALETA MAGEUZI KWA WANAWAKIGAMBONI
Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM WAMACHINGA Waziri kivuli wa Viwanda na Biashara ambaye pia ni Mwanasheria, Katibu wa Mambo ya Nje ACT Wazalendo Mwanaisha Zuberi Mndeme ametia nia ya kuchukua fomu ya kugombea nafasi ya ubunge katika Jimbo la Kigamboni katika kuelekea kwenye uchaguzi mkuu wa Oktoba 2025. Licha ya Chama cha CHADEMA kikiendelea […]