BALOZI NCHIMBI ATOA SALAMU ZA PASAKA KATIKA MTOKO ULIONDALIWA NA WASANII WA INJILI
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, ametoa salamu za Sikukuu ya Pasaka katika Tamasha la Mtoko wa Pasaka lililoandaliwa na Wasanii wa Muziki wa Injili nchini. Hafla hiyo iliyofanyika Jumapili tarehe 20 Aprili 2025 katika Ukumbi wa Super Dome, Masaki, jijini Dar es Salaam, ilihusisha […]