MIAKA 61 YA MUUNGANO DKT. BITEKO AHIMIZA VIONGOZI KUACHA ALAMA
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA 📌 Asisitiza umoja na ushirikiano Arusha 📌 Awataka Watanzania kuenzi Muungano Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amewataka Watanzania kuishi kwa upendo na kushirikiana kwa maslahi mapana ya jamii na Taifa kwa ujumla. Amesema katika kilele cha maadhimisho ya miaka 61 ya Muungano ambapo amewahimiza Watanzania […]