MWAKINYO AFUNGIWA MCHEZO WA NGUMI NDANI YA MWAKA MMOJA NA FAINI MILIONI 1
Kamisheni ya Ngumi za Kulipwa Tanzania (TPBRC) imetoa adhabu kwa Bondia Hassan Mwakinyo kutojihusisha na Mchezo wa Ngumi nje na ndani ya Tanzania kwa muda wa mwaka mmoja pamoja na Faini ya Tsh. Milioni 1 Mwakinyo amekutwa na hatia ya kutoa kauli chafu dhidi ya Uongozi wa TPBRC pamoja na kugomea pambano dhidi ya Bondia […]