OFISI YA MWANASHERIA MKUU NA BARAZA LA TAIFA LA UJENZI WAMEINGIA MAKUBALIANO KUSHIRIKIANA KATIKA SEKTA YA UJENZI
Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali na Baraza la Taifa la Ujenzi zimeingia makubaliano kwa ajili ya ushirikiano wa kitaalamu katika Sekta ya Ujenzi. Akizungumza na waandishi wa habari Jijini, Dar es Salaam tarehe 03 Aprili, 2025 Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Mhe. Hamza S. Johari amesema kuwa wameingia makubaliano hayo kwa sababu taasisi hizo zinashabihiana […]