KITAIFA May 01, 2025 22 views 11 secs 0 WAZIRI MAJALIWA AKUTANA NA BALOZI POLEPOLE OFISI ZA WAZIRI MKUU MLIMWA DODOMA Waziri Mkuu Kassim Majaliwa mapema leo Aprili 30, 2025 amekutana na Balozi wa Tanzania nchini Cuba Humphrey Polepole, Ofisini kwa Waziri Mkuu Mlimwa Jijini Dodoma.