KITAIFA, MICHEZO
February 26, 2024
306 views 2 mins 0

RAIS SAMIA WAPONGEZA YANGA KUTINGA.ROBO FAINALI LIGI YA MABINGWA

Na mwandishi wetu RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan ameipongeza klabu ya Yanga kwa kufuzu Robó Fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika kufuatia ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya CR Belouizdad juzi “Naipongeza Klabu ya Yanga kwa kufanya vyema katika hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa ya Shirikisho la […]