KITAIFA
April 25, 2025
28 views 2 mins 0

REA YAHAMASISHA FURSA YA MKOPO UJENZI WA VITUO VIDOGO VYA BIDHAA ZA MAFUTA VIJIJINI

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA                                📌Watanzania watakiwa kuchangamkia ujenzi wa vituo vidogo vya mafuta ya Dizeli na Petroli Vijijini                               📌TAPSOA yaipongeza REA kwa kuhamasisha upatikanaji wa uhakika wa bidhaa za mafuta vijijini kwa usafi na usalama 📍Dar es Salaam Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) inaendelea kuwahamasisha Watanzania kuchangamkia fursa ya mikopo kwa […]

KITAIFA
April 22, 2025
32 views 37 secs 0

WANANCHI GAIRO WAMSHUKURU RAIS SAMIA KUPIKA KIJANJA

📌Ni kupitia ruzuku ya bei mitungi ya gesi ya kupikia 📌Gairo yahamasika na nishati safi Wananchi Mkoani Morogoro wamempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan  kwa kuibeba ajenda ya nishati safi ya kupikia ili kukuza uchumi wa watazania. Pongezi hizo zimetolewa na wananchi wa wilaya ya Gairo kwa wataalam […]

KITAIFA
April 03, 2025
36 views 2 mins 0

REA YAPAMBA MOTO UHAMASISHAJI MATUMIZI YA UMEME

📌Wananchi wapewa elimu matumizi  bora ya nishati safi 📌Wahimizwa kuhifadhi na kutunza mazingira 📌REA yahamasisha wananchi uunganishaji umeme Wakala wa Nishati Vijijini (REA) umeendelea kuhamasisha matumizi sahihi na endelevu ya umeme kwa Watanzania ikiwa ni pamoja na matumizi ya vifaa vya kisasa vya umeme hususan majiko ya umeme ambayo yanatumia kiasi kidogo cha umeme, salama […]

KITAIFA
March 29, 2025
45 views 2 mins 0

MARA WARIDHISHWA UTEKELEZAJI MIRADI YA REA

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA 📌 Wamshukuru Rais Samia kwa kupunguza gharama za umeme 📌 Elimu kuhusu matumizi bora ya nishati yatolewa 📌 Watakiwa kuchangamkia fursa ya kuunganisha umeme Wananchi mkoani Mara wamesisitiza kuridhishwa na utekelezaji miradi ya Wakala wa Nishati Vijijini (REA), inayotekelezwa nchini kwa lengo la kuwapatia umeme wa gharama nafuu, na wameipongeza Serikali […]

KITAIFA
March 06, 2025
60 views 52 secs 0

ARUSHA WAVUTIWA NA BIDHAA ZA NISHATI SAFI YA KUPIKIA

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Wananchi Jijini Arusha wamevutiwa na bidhaa mbalimbali za Nishati Safi ya Kupikia na wameipongeza Serikali kwa kuona umuhimu wa kufikisha bidhaa hizo katika Maonesho yanayoendelea mkoani humo kuelekea Siku ya Wanawake Duniani. Wakizungumza kwa nyakati tofauti Machi 6, 2025 mara baada ya kutembelea Banda la REA na kushuhudia teknolojia mbalimbali za […]

KITAIFA
February 26, 2025
99 views 8 secs 0

TANZANIA INA UTAJIRI WA GESI ASILIA’- MHANDISI ANTELIMI RAPHAEL

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Kamishna Msaidizi wa Mkondo wa Juu wa Petroli, Wizara ya Nishati, Mhandisi  Antelimi Raphael amesema kuwa Tanzania ina utajiri wa Gesi Asilia ambapo mpaka sasa kiasi kilichogunduliwa ni futi za ujazo trilioni 55. Amesema hayo tarehe 26 Februari 2025 jijini Dar es Salaam katika Kipindi cha Joto la Asubuhi kinachoendeshwa na […]

KITAIFA
January 24, 2025
115 views 2 mins 0

KUELEKEA MKUTANO WA M300: TANZANIA YAWEKA HISTORIA UUNGANISHAJI UMEME VIJIJINI

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA 📌Watanzania asilimia 78.4 wameunganishwa na umeme 📌Uunganishaji umeme vijijini wafikia asilimia 100 📌Vitongoji 33,657 vimefikiwa 📌Watanzania milioni 13.5 kusambaziwa umeme ifikapo 2030 📌Rais Samia kinara wa matumizi ya nishati safi Kuelekea mkutano wa nishati wa wakuu wa nchi za Afrika, Tanzania imeweka historia kwa kuwaunganishia umeme wananchi kwa asilimia 78.4 ambapo […]

KITAIFA
December 17, 2024
124 views 3 mins 0

WATAALAM WA UNUNUZI NA UGAVI CHUKIENI RUSHWA, FANYENI KAZI KWA UWAZI – DKT. BITEKO

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Atahadharisha vitendo vya rushwa kwenye Manunuzi* Dkt. Biteko afungua Kongamano la 15 la Wataalam wa Ununuzi na Ugavi* Ataka wasikilize sauti za watu, kutathimini utendaji kitaaluma* Naibu Waziri Mkuu na  Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amewataka wataalam wa ununuzi na ugavi nchini kizingatia misingi ya maadili ya taaluma yao […]

KITAIFA
December 11, 2024
105 views 2 mins 0

ARUSHA WAMSHUKURU RAIS SAMIA

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Majiko ya Gesi ya Ruzuku yawafikia Wananchi wa Halmashauri ya Wilaya ya Arusha wamemshukuru Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa mradi wa kusambaza majiko ya gesi kwa bei ya ruzuku ya 50% katika halmashauri hiyo. Wametoa pongezi hizo Desemba 10, 2024 wakati wa utekelezaji wa mradi wa kusambaza majiko ya […]

KITAIFA
December 09, 2024
131 views 58 secs 0

NGORONGORO WATHIBITISHA KUACHANA NA KUNI INAWEZEKANA

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Wajitokeza kwa wingi kujipatia majiko ya gesi ya ruzuku Wakazi wa Wilaya ya Ngorongoro Mkoani Arusha wameitikia wito wa kutumia Nishati Safi ya Kupikia ikiwa ni hatua ya kuunga mkono jitihada za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika kulinda afya na kutunza mazingira. Hayo […]