REA YAPELEKA UMEME VITONGOJI 120 KIGOMA
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Rais Samia ametoa shilingi bilioni 14 kutekeleza mradi huo. Mradi kupeleka umeme katika vitongoji 15 kwa kila jimbo Wakala wa Nishati Vijijini (REA) imeanza kutekeleza mradi wa kupeleka umeme kwenye majimbo 15 ya Mkoa wa Kigoma ambao utawezesha jumla ya vitongoji 120 kupata umeme wa uhakika utakaowarahisishia kufanya shughuli za kiuchumi […]