MICHEZO
May 04, 2025
15 views 49 secs 0

NUSU FAINALI YA SAMIA CUP ELIMU YA JUU YAPAMBA MOTO LEO

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Timu nne bora zitamenyana leo katika hatua ya nusu fainali ya michuano ya Elimu ya Juu na Kombe la Samia, itakayofanyika Uwanja wa JMK Park jijini Dar es Salaam Mei 4, 2025. Mchezo wa nusu fainali ya kwanza utawakutanisha Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) kumenyana na Chuo Kikuu cha […]