WWF WATOA RIPOTI NZITO,HOFU YA WANYAMA PORI KUPUNGUA YATAJWA
Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM IMEBAINIKA kuwa idadi ya wanyamapori Duniani imepungua kwa asilimia 73 katika kipindi cha miaka 50 iliyopita Afrika, kwa .upande wake, imeshuhudia upungufu wa asilimia 76, huku sababu kuu zikiwa ni uharibifu wa makazi, uchafuzi wa hali ya hewa utokanao na viwanda, mabadiliko ya matumizi ya ardhi, ukataji miti uliokithiri, […]