FAHAMU NUKUU 3 ZA RAIS SAMIA KWA KUTUMIA MATUMIZI YA MBEGU NA MICHE BORA KWA WAKULIMA
Zikiwa zimesalia siku 5 kuelekea kusomwa kwa Bajeti ya Wizara ya Kilimo, tumekuletea nukuu 3 za Rais Samia alipozungumza katika majukwaa tofauti juu ya umuhimu wa Tanzania kujitosheleza katika uzalishaji wa Mbegu na Miche bora 1. “Serikali imeviboresha vituo vya utafiti na mashamba ya uzalishaji mbegu kutokana na kujiingiza kwenye masuala ya uzalishaji mbegu za […]