KITAIFA
March 29, 2024
231 views 4 mins 0

PURA yapongezwa usimamizi wa miradi ya CSR

Na Mwandishi Wetu Lindi DIWANI wa Kata ya Songo Songo, Mkoani Lindi, Hassan Swalehe Yusuph ameipongeza Mamlaka ya Udhibiti Mkondo wa Juu wa Petroli (PURA) kwa usimamizi bora wa Miradi ya Uwajibikaji kwa Jamii (CSR) iliyofanywa na kampuni zinazozalisha gesi asilia katika kisiwa cha Songo Songo. Yusuph ametoa pongezi hizo hivi karibuni wakati akizungumza na […]