WANAHARAKATI NCHINI SUDAN WAMESEMA RSF IMEUA WATU 65 KATIKA MJI WA EL-FASHER
Na Anton Kitereri Takriban watu 65, wengi wao wakiwa ni watotoย waliuawa tangu siku ya Jumamosi kwenye mashambulizi ya mabomu yaliyofanywa na wanamgambo wa kikosi cha Rapid Support Forces (RSF) katika mji wa jimbo la Darfur wa El-Fasher. wanaharakati hao wamesema kwamba mji huo wa jimbo la Darfur Kaskazini ndio mji mkubwa ambao haujadhibitiwa na […]