TANESCO YAANZA RASMI ZOEZI LA KULIPA FIDIA WANANCHI WALIOPISHA UJENZI WA MIRADI YA UMEME
Mtwara, Ruvuma ๐Ni mradi wa ujenzi wa njia kubwa ya kusafirisha umeme wa kilovoti 220 Tunduru -Masasi . ๐Jumla ya shilingi Bilioni 4.7 kutumika kulipa fidia kwa wananchi ๐Wananchi waahidi kuyahama maeneo ndani ya siku 30 walizopewa. Jumla ya wananchi 1,526 wanatarajia kunufaika na malipo ya fidia ya shilingi Bilioni 4.7 baada ya kupisha Mradi […]