MKANDARASI AMUANGUKIA RAIS SAMIA ADAI HAKI YAKE KUTOKA TANROAD
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA MMILIKI wa Kampuni ya Rohama 333, Mhandisi Owden Mwalyambi amemuangukia Rais Samia Suluhu Hassan kumuomba msaada ili aweze kulipwa malipo yake anayodai kufanyia kazi mradi wa serikali mkoani Rukwa bila kulipwa. Mwalyambi ameeleza hayo leo wakati akizungumza na waandishi wa habari katika Ukumbi wa Ngome Social Hall, Wilaya ya Kinondoni Dar […]