RAIS SAMIA AIDHINISHA BILIONI 30 KUKARABATI BARABARA ZILIZOATHIRIWA NA MVUA
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan imepanga kutumia kiasi cha zaidi ya shilingi bilioni 30 kwa ajili ya ukarabati wa barabara muhimu za maeneo mbalimbali nchini zilizoharibiwa na mvua. Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega, ametoa taarifa hiyo mkoani Morogoro alikoenda kwa dharura baada ya mvua kubwa zinazoendelea kunyesha kuharibu barabara inayounganisha […]