UWT SINGIDA YAIPONGEZA TARURA UJENZI WA MADARAJA YA MAWE
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Singida Katibu wa Jumuiya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Mkoa wa Singida Bi. Naomi Daudi ameipongeza Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) kwa ujenzi wa barabara na madaraja kwa kutumia teknolojia ya mawe. Bi. Naomi ameyasema hayo mara baada ya kutembelea banda la TARURA kwenye maonesho ya maadhimisho ya […]