BIASHARA
April 25, 2025
30 views 2 mins 0

TATOA,TAFFA WAILALAMIKIA TRA

Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM WAMACHINGA Chama cha wamiliki wa Maroli Tanzania (TATOA) kwa kushirikiana na Chama cha Mawakala wa Forodha Tanzania (TAFFA)  Wameilalamikia Mamlaka ya mapato Tanzania kwa kuchaji kodi ya ongezeko ya thamani (VAT) katika mizigo na gharama za uendeshaji Kwa wanachama Transity. Hayo yamebainishwa leo Aprili 25, 2025 Jijini Dar es […]