WANANCHI WAGUSWA NA MIRADI YA ELIMU INAYOTEKELEZWA NA TAWA LIWALE
๐Wakiri uhifadhi kuwa na manufaa. Na Mwandishi wetu, Lindi. Miradi ya ujenzi wa madarasa mawili yenye thamani ya shillingi millioni 60 katika kijiji cha Ngumbu wilaya ya Liwale mkoani Lindi inayotekelezwa na Serikali kupitia Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania – TAWA chini ya ufadhili wa ushirika wa Benki ya Maendeleo ya Ujerumani (KFW) na […]