TAWA YAKABIDHI MADAWATI 295 KWA SHULE ZA MKOA WA SIMIYU
๐ Wanafunzi, Walimu waipongeza Serikali. Na Mwandishi wetu – Simiyu SERIKALI kupitia Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania – TAWA imekabidhi madawati 295 yenye thamani ya Shillingi Millioni 25.9 Kwa shule za sekondari na msingi Mkoani Simiyu hatua inayolenga kuboresha mazingira ya elimu kwa shule zinazozunguka Pori la Akiba Maswa kama sehemu ya ujirani mwema […]