BIASHARA
April 06, 2025
40 views 2 mins 0

MBOLEA YACHOCHEA MAPINDUZI KATIKA KILIMO CHA PARACHICHI: UZALISHAJI NA USAFIRISHAJI NJE WAONGEZEKA MARA DUFU

BAADA ya wakulima wa zao la parachichi kuanza kutumia mbolea katika kilimo hicho, uzalishaji umeongezeka. Matumizi ya mbolea katika zao la parachichi yameongezeka kutoka wastani wa kilo 100 kwa hekta mwaka 2019/20 hadi kilo 150 kwa hekta mwaka 2023/24. Ongezeko hilo la matumizi ya mbolea limechangia kuongezeka kwa uzalishaji wa parachichi inayouzwa nje kutoka tani […]