ZOEZI LA UHAKIKI MALIPO YA MBOLEA ZA RUZUKU KWA WAKULIMA WA TUMBAKU TABORA LARIZISHA
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Tabora, 17 Aprili 2025 Katika kuhakikisha wakulima wa tumbaku wanapata ruzuku za mbolea Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Udhibiti wa Mbolea Tanzania (TFRA), Bw. Joel Laurent, amefanya ziara ya kikazi katika vituo viwili vinavyo hakiki taarifa hizo mkoani Tabora kujionea maendeleo ya zoezi hilo na kuhakikisha linakamilika kwa wakati. Baada ya […]