MONALISA KUPAMBANIA TUNZO ZA WANAWAKE
Msanii mkongwe wa filamu nchini Yvone Cherrie ‘Monalisa’ , ameandaa Usiku wa Tuzo za Wanawake Novemba 23 mwaka huu jijini Dar es Salaam. Akizungumza na waandishi wa habari, Monalisa amesema zitafanyika ukumbi wa Super Dome Masaki na kwamba ni nafasi ya wanawake kuonekana kwa kile wanachofanya. “Nimeandaa tuzo za wanawake vinara kwenye sekta ya sanaa, […]