KITAIFA
December 04, 2023
297 views 2 mins 0

SHILINGI BILIONI 75.8 KUGHARIMU UJENZI BANDARI YA MBAMBA BAY

Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari nchini (TPA) imeingia mkataba wa usanifu na ujenzi wa uendelezaji wa Bandari ya Mbamba bay iliyopo wilaya ya Nyasa mkoani Ruvuma, mradi utakao gharimu kiasi cha shilingi bilioni 75.8 ambapo unatarajiwa kukamilika ndani ya miezi 24. Akizungumza na wananchi katika hafla ya utiaji saini mkataba huo, Waziri wa Uchukuzi Prof. […]