UONGOZI WA KAMPUNI YA FRANONE UMETOA CHAKULA KWA WAHANGA SIMANJIRO
Na Richard Mrusha Simanjiro UONGOZI wa Kampuni ya Franone Mining and Games limetd inayojishughulisha na uchimbaji madini ya vito ( Tanzanite) imeungana na watanzania wengine na Serikali katika kuchangia mahitaji mbalimbali ya chakula Kwa wahanga wa mafuriko wilayani Simanjiro mkoani Manyara . Akizungumza na waandishi wa Habari Disemba 10,2023 Meneja Mkuu wa kampuni hiyo Vitus […]