WATUMISHI WANAOPANDA MADALAJA KUJIEPUSHA NA RUSHWA
Na Madina Mohammed DODOMA WAMACHINGA Katika mwaka wa fedha 2024/25 serikali inatarajia kupandisha vyeo watumishi laki mbili kumi na tisa na arobaini na mbili (219042)na kubadilisha kada watumishi elfu sita Mia tisa na kumi (6910). Haya yameelezwa leo 3 march jijini Dodoma, waziri wa nchi ,ofisi ya Rais Utumishi na Utawala bora George Simbachawene katika […]