KITAIFA
December 02, 2023
350 views 2 mins 0

MAKONDA AMTEMBELEA ASKOFU DKT MALASUSA,AMHAKIKISHIA VIONGOZI WA KIROHO KUMWOMBEA RAIS SAMIA

Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (NEC) Taifa, Ndugu Paul Christian Makonda amemtembelea Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Askofu Mkuu Dkt. Alex Gehaz Malasusa, kwa lengo la kumsalimia na kumpongeza kwa kuchaguliwa kwake kuliongoza kanisa hilo, kwa mara nyingine. Katika mazungumzo yao yaliyofanyika leo Jumamosi, Disemba 2, 2023, Askofu […]

KITAIFA
October 01, 2023
234 views 2 mins 0

WAZIRI MKUU MAJALIWA:VIONGOZI WA DINI WAHAMASISHENI VIJANA KUFANYA KAZI KWA WELEDI

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa ametoa wito kwa viongozi wa dini kuwahimiza vijana kufanya kazi kwa staha, weledi na uadilifu ili kuzitumia rasilimali zilizopo nchini kujiletea maendeleo. “Nchi yetu imebarikiwa fursa nyingi za kiuchumi, ili jamii ione matunda ya uwepo wa fursa hizo tunategemea sana nguvu kazi ya vijana katika kuzitumia rasilimali zilizopo” Ametoa wito huo […]

KITAIFA
August 04, 2023
378 views 2 mins 0

HARAMBEE YA KUCHANGIA WATOTO WALEMAVU YAJA KWA KISHINDO

Taasisi ya Dayosisis ambayo inayolea watoto walemavu na wasiojiweza ambayo anakabiliwa na changamoto ya miundombinu mbalimbali ikiwemo uchakavu na ukosefu wa vitendea kazi. Taasisi hiyo inafanya harambee Kwa ajili ya kuwasaidia watoto walemavu ambao wasioona na wale wenye utindio wa ubongo na akili, harambee hiyo itafanyika mlimani city na mgeni rasmi atakuwa RAIS wa Jamhuri […]