WAZEE WAKUMBUSHWA JUKUMU LA KUKEMEA MMOMONYOKO WA MAADILI NCHINI
Na Said Said, WMJJWM- Dodoma. Baraza la Taifa la Wazee limeaswa kushirikiana na Serikali pamoja na wadau mbalimbali katika kurekebisha na kusimamia maadili mema ya Taifa. Rai hiyo imetolewa Oktoba 04, 2023 na Kamishna Msaidizi wa Ustawi wa Jamii, Tulo Masanja alipomwakilisha Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Dkt. Dorothy Gwajima, […]