WAZIRI SILAA AWEKA BAYANA MAKAKATI YA KUWEZESHA IDARA YAKE YA HABARI , MAWASILIANO NA TEKNOLOJIA KUPITIA USHIRIKIANO NA WANAHABARI
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Jerry Silaa, ameweka wazi mikakati yake ya kuboresha sekta ya habari kupitia ushirikiano wa karibu na wanahabari. Akizungumza leo jijini Dar es Salaam katika mkutano wa wadau wa sekta ya habari kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa na Uchaguzi Mkuu wa 2025, Waziri […]