SEKTA YA MADINI YAFIKIA MCHANGO WA ASILIMIA 10.1 KATIKA PATO LA TAIFA
▪️ *Rais Samia apongezwa kwa mageuzi makubwa ya sekta ya madini* ▪️**Wizara yafikia lengo kabla ya mwaka 2025** ▪️ *Sekta Yatajwa Chanzo Kikuu kuingiza Fedha za Kigeni* ▪️ *Waziri Mavunde Awashukuru Watendaji, Watumishi na Wadau wa Sekta ya Madini* 📍 *Dodoma* Wizara ya Madini imetangaza kuwa Sekta ya Madini nchini Tanzania imepiga hatua kubwa ya […]