KITAIFA
May 22, 2024
200 views 4 mins 0

MAVUNDE MABADILIKO YA SHERIA YA MADINI YAWANUFAISHA WATANZANIA

Na Mwandishi wetu ARUSHA WAMACHINGA -_Kampuni za Watanzania za Kutoa Huduma na Kusambaza bidhaa zaongezeka_ -_Ajira rasmi 18,853 kwa Watanzania_ -_Chini ya uongozi wa Mh Rais Samia Watanzania wapata nafasi za juu za kuongoza Kampuni kubwa  za Madini Tanzania_ Mabadiliko ya Sheria ya Madini ya mwaka 2010 yametoa fursa ya  kuboresha mazingira ya uwekezaji nchini […]