KITUO CHA MFANO KATENTE CHAONGEZA MAKUSANYO MBOGWE
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA *Afisa Madini atoa Wito wachimbaji kuvitumia* *Abainisha fursa za Uwekezaji Sekta ya Uchimbaji mdogo Mbogwe* *Mbogwe* Uwepo wa Kituo cha Mfano cha Katente katika Mkoa wa Kimadini Mbogwe umeleta mapinduzi katika ukusanyaji wa Maduhuli ya Serikali kufuatia Wachimbaji Wadogo wa Madini kukitumia kituo hicho kuchenjua mawe yao jambo ambalo limewezesha ukusanyaji […]