NAIBU WAZIRI MKUU DKT. BITEKO AHIMIZA KANISA KULIOMBEA TAIFA
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amesema Serikali chini ya Rais, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan inalojukumu la kuhakikisha uchaguzi Mkuu unafanyika kwa amani na haki. โWito wangu kwa kanisa ni kuendelea kuliombea Taifa liendelee kuwa na amani,โ amesema na kuongeza kuwa atamtaatifu Mhe. Rais kuhusu […]