KAMATI YA MIUNDOMBINU YASHAURI UJENZI WA MADARAJA MAENEO YENYE USAFIRI WA VIVUKO
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu imeishauri Wizara ya Ujenzi kufanya usanifu kwenye maeneo yote yenye huduma za usafiri wa Vivuko na kupanga mikakati ya kudumu ya kujenga madaraja katika baadhi ya maeneo ili kupunguza changamoto zinazokabili uendeshaji wa huduma hizo. Ushauri huo umetolewa na Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Mhe. […]