YST YAPOKEA MAOMBI 1516 YA WANASAYANSI CHIPUKIZI
Na Penina Malundo SHIRIKISHO la Wanasayansi Chipukizi (YST),limepokea idadi kubwa ya maombi ya kazi za kisayansi kutoka kwa wanafunzi kushiriki mashindano ya sayansi yanayofikia 1,516 kwa mwaka 2025 ukilinganisha na mwaka uliopita mapmbi 1055. Aliyasema hayo jana jijini Dar es Salaam, Mwanzilishi Mwenza wa YST Dk. Gozibert Kamugisha wakati akiongea na waandishi wa habari juu […]