ZIMAMOTO YAUNGANA NA MATAIFA MENGINE KUADHIMISHA SIKU YA WAZIMAMOTO DUNIANI
Na Mwandishi wetu – Dar es Salaam Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Tanzania Bara, limeungana na Wazimamoto wote Duniani katika kuadhimisha Siku ya Wazimamoto Duniani ambayo hufanyika Mei 4, kila mwaka. Akizungumza na Waandishi wa habari Mei 04, 2025 jijini Dar es Salaam Naibu Kamishna wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji (DCF) Puyo Nzalayaimisi, ambaye […]