BURUDANI, MICHEZO
April 26, 2025
21 views 53 secs 0

MAAFISA WA UTAMADUNI NA MICHEZO WASHIRIKI BONANZA

Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali Ndg. Gerson Msigwa, Watendaji wa Wizara hiyo pamoja na Maafisa Utamaduni na Maafisa Maendeleo ya Michezo Tanzania, wameshiriki bonanza katika Uwanja wa Tanganyika Packers, Kawe jijini Dar es Salaam leo Aprili 26, 2025. Bonanza hilo limehusisha michezo mbalimbali ikiwemo kufukuza […]

BURUDANI
April 19, 2025
85 views 44 secs 0

SAMIA SERENGETI MUSIC FESTIVAL KUANDIKA HISTORIA

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa amesema kuwa Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan amerejesha Tamasha la Serengeti Music Festival na sasa linaitwa Samia Serengeti Music Festival ambalo wasanii wote wakubwa watapanda jukwaa moja, litafungwa jukwaa la kihistoria na Tamasha litafunguliwa […]

BURUDANI
April 08, 2025
72 views 51 secs 0

MAMA ONGEA NA MWANAO YAMSAPOTI CHRISTINA SHUSHO KWA TAMASHA LA MTOKO WA PASAKA

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Taasisi ya Mama Ongea na Mwanao imetangaza kuunga mkono juhudi za mwimbaji mashuhuri wa nyimbo za injili, Christina Shusho, katika maandalizi ya tamasha la Mtoko wa Pasaka linalotarajiwa kufanyika Aprili 20 katika ukumbi wa Super Dome, Dar es Salaam. Tamasha hilo litajumuisha nyimbo za injili, maombi, pamoja na utoaji wa misaada […]

BURUDANI
February 24, 2025
63 views 49 secs 0

RAIS MWINYI AFUNGUA TRACE AWARDS 2025

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa  Baraza la Mapinduzi Dkt, Hussein Ali Mwinyi amesema   Serikali itaendelea  kuwaunga Mkono  Wasanii kwani ni  Muhimu katika Kukuza Utalii, Uwekezaji na Urithi wa Utamaduni miongoni mwa Jamii. Rais Dkt. Mwinyi amesema hayo alipolifungua  Tamasha la Tuzo za Muziki la Trace Awards kwa mwaka 2025 linalofanyika  Hoteli ya The Mora […]

BURUDANI
February 16, 2025
69 views 2 mins 0

TAMTHILIA YA MILA NA UTAMADUNI YA ‘AFRICAN SPIRIT’ KUJA KUTANGAZA MAPINDUZI ZA MILA ZA AFRIKA

Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM WAMACHINGA Mkali Malela Herbalist Clinic Limited imeandaa tamthilia kubwa na ya kipekee inayoitwa “African Spirit” ambayo inayolenga kuibua na kuonyesha historia,Mila,na Utamaduni wa kiafrika Kwa kina. Tamthilia hiyo ni nyenzo ya kuamsha fikra,kuonyesha thamani ya Mila za afrika na kuelimisha jamii Kuhusu umuhimu wa kuhifadhi urithi wa Africa Kupitia […]

BURUDANI
January 31, 2025
97 views 25 secs 0

USIKU WA SEKTA YA UTALII KUPITIA KAMPENI MAALUMU IJULIKANAYO KAMA T506

Wasanii wa Bongo Flavor Soggy Doggy Hunter na Ruby wakitoa burudani katika hafla ya kutangaza mafanikio katika sekta ya utalii kupitia kampeni maalum ijulikanayo kama T506 usd inayofanyika  jijini Dar es salaam, tarehe 31 Januari, 2025 ambapo mgeni rasmi ni Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi, Dkt. Pindi Chana (Mb)

BURUDANI
January 30, 2025
84 views 2 mins 0

DKT. ABBASI AITAKA SEKTA BINAFSI KUSHIRIKIANA NA WIZARA KUTANGAZA MAZURI YA SEKTA YA UTALII

Na. Joyce Ndunguru, Dar es Salaam. Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii, Dkt. Hassan Abbasi ametoa wito kwa Sekta binafsi kuendelea kushirikiana na Serikali katika kutangaza mazuri yatokanayo na utalii sehemu mbalimbali za dunia. Dkt. Abbasi ameyasema hayo leo Januari 29,2025, alipokuwa katika mazungumzo na vyama mbalimbali vya utalii vilivyopo nchini katika kikao […]

BURUDANI
January 21, 2025
178 views 2 mins 0

AZAM MEDIA NA TRACE GROUP WAINGIA MAKUBALIANO KWA URUSHAJI MATANGAZO ZA TUZO ZA TRACE FEBRUARI 26

Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM WAMACHINGA Kampuni ya Azam Media Limited imesaini mkataba wa makubaliano na Trace Group inayondaa tuzo za Trace kwa ajili ya urushaji matangazo ya usiku wa tuzo hizo Februari 26, 2025. Mkataba huo umesainiwa na Afisa Mwendeshaji Mkuu wa Azam Media Limited, divisheni ya Maudhui na Utangazaji @yahyamohamedtz pamoja na […]

BURUDANI
December 26, 2024
142 views 11 secs 0

ZAIDI YA WATALII 700 WAFURIKA TABORA ZOO KUJIONE MAAJABU YA BUSTANI HIYO

Na Beatus Maganja Jumla ya watalii 770 kutoka viunga vya Mkoa wa Tabora na mikoa ya karibu wametembelea Bustani ya wanyamapori hai almaarufu TABORA ZOO Desemba 25, 2024 kujionea maajabu yaliyopo ndani ya bustani hiyo ikiwemo Nyumbu rafiki wa binadamu mwenye sifa za kipekee za kuambatana na watalii akiwaongoza katika vivutio mbalimbali vilivyopo ndani ya […]

BURUDANI, KITAIFA
December 14, 2024
175 views 3 mins 0

WASANII WATAKIWA KUJALI AFYA ZAO KWA KUJIHUSISHA NA UPIMAJI WA MIILI YAO

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Wasanii wametakiwa kujitokeza kwa wingi kupima afya zao wakati wa kambi maalumu ya uchunguzi na matibabu ya moyo itakayofanyika hivi karibuni katika Kliniki ya Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) iliyopo Kawe. Rai hiyo imetolewa leo jijini Dar es Salaam na Mkurugenzi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt. Peter […]