Israel yatoa tahadhari baada ya mlipuko karibu na ubalozi nchini India
Israel imetoa tahadhari kwa raia wake nchini India baada ya mlipuko karibu na ubalozi wa nchi hiyo huko Delhi. Mlipuko huo ulifanyika Jumanne jioni katika eneo la kidiplomasia la mji mkuu wa Chanakyapuri. Hakuna mtu aliyejeruhiwa, lakini polisi walisema walipata vipande kutoka mahali hapo. Uchunguzi unaendelea. Israel imewataka raia wake kuepuka maeneo yenye watu wengi […]