KIZAZI CHANGU HAKIELEWI, AFRIKA INAUTAJIRI MWINGI, INAKUWA BARA MASIKINI DUNIANI.
Ibrahimu Traore ni Afisa wa jeshi la Burkina Faso ambaye kwasasa ni Rais wa nchi hiyo baada ya kufanyika kwa mapinduzi ya kijeshi yaliyomwondoa madarakani rais Paul-Henri Sandaogo Septemba 30, 2022 Traore alizaliwa mwaka 1988 katika mji wa Bondokuy, Burkina Faso kwa Sasa ana umri wa miaka 35 kitu kunacho pelekea kuwa Rais mwenye umri […]