Mkuu wa Mkoa wa Mara Mhe. Said Mtanda ameendesha operesheni ya ukaguzi wa magari ambayo hayafanyi kazi katika Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti na kutoa maagizo kwa Afisa Usafirishaji na Wakuu wa Idara husika kuhakikisha magari hayo yanatengenezwa haraka na kwa kipindi walichokubaliana. Rc Mtanda amesema kumekua na tabia ya kutelekeza magari ya serikali ili […]
Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Patrobas Katambi, amefungua kikao kazi cha kupitia na kujadili rasimu ya mwongozo wa kupima tija na programu ya kukuza tija na ubunifu nchini utakaosaidia kuangalia maendeleo ya ukuaji wa uchumi. Akizungumza jijini Dodoma, Mhe. Katambi amesema mwongozo huo pia utasaidia kutoa taarifa […]
Katibu wa Kamati Maalum ya NEC,Idara ya Itikadi na Uenezi Zanzibar Khamis Mbeto Khamis,amewasihi wasomi nchini kufanya utafiti wa kina wa kufuatilia na kutathimini kitaalamu miradi ya maendeleo inayotekelezwa na Serikali ili wananchi wajue mafanikio hayo. Akizungumza katika kongamano la kumpongeza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Mwinyi, la kuelekea miaka […]
Serikali imesema kuwa Utekelezaji wa miradi Saba ya ujenzi wa barabara Kwa njia ya EPC-F haitalipiwa na wananchi watakaotumia baadhi ya wananchi wanavyodhani. Akizungumza jijini Dodoma Waziri wa ujenzi na uchukuzi Professor Makame mbarawa wakati wa utiaji Saini wa miradi hiyo ambayo inatarajiwa kutekelezwa katika Kanda za kaskazini na kusini na kujengwa na makandarasi wanne(4) […]
Umewai kujua kwamba ili utambulike rasmi kisheria kwamba haupo katika mahusiano kindoa “single”unahitajika kuw a na cheti Cha serikali (Bachelor Spinster certificate)kinachotolewa na wakala wa usajili,ufilisi na udhamini (RITA) Huduma hiyo ya utambuzi huo ambao happy awali ilikuwa ikitolewa Kwa gharama ya sh 100.000 Kwa Sasa itaanza kupatikana Kwa kiasi Cha sh.200.000 ifikapo julai mosi […]
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maji, Mhandisi Cyprian Luhemeja amewataka watumishi wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mwanza (MWAUWASA) kuhakikisha wanatumikia vyema nafasi zao walizoaminiwa ili kuboresha hali ya upatikanaji wa huduma ya maji kwenye maeneo mbalimbali wanayohudumia. Mhandisi Luhemeja ametoa maelekezo hayo kwa nyakati tofauti alipofanya ziara kwenye Ofisi mbalimbali za MWAUWASA […]
Wabunge wa Kamati ya Kudumu ya Masuala ya Usawa wa Jinsia, Maendeleo ya Jamii na Ustawi wa Familia kutoka Bunge la Namibia wameipongeza Serikali kwa kuimarisha huduma za matibabu ya moyo jambo ambalo limewafanya watanzania na mataifa mengine kutibiwa moyo hapa nchini. Pongezi hizo zimetolewa na wabunge hao jijini Dar es Salaam wakati walipotembelea Taasisi […]
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Rosemary Senyamule ametoa wito kwa vijana kuchangamkia fursa za Afya Bonanza ili waweze kupima afya zao na kupata elimu kuhusu masuala mbalimbali ya afya. Akitoa wito huo Mkuu wa mkoa Rosemary Senyamule katika ufunguzi wa Bonanza la Afya Mkoa wa Dodoma uliofanyika katika shule ya Msingi Changโombe na kufanikiwa jumla […]
Waziri wa Nchi,ย Ofisi ya Rais, Menejimenti Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. George Simbachawene amewataka Watumishi waย Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwaย (TAKUKURU) kutoka ofisini na kwenda sehemu ambako huduma za kijamii zinatolewa kwa kuwa huko kuna malalamiko mengi ya wananchi kuhusu kutoondewa haki katika kupata huduma. Akizungumza katika kikao hicho kilichofanyika jijini Dodoma […]
Mfumuko wa bei nchini umeendelea kuwa ndani ya lengo la wigo wa kuwa chini ya asilimia 5. Mwaka 2022, mfumuko wa bei ulifikia wastani wa asilimia 4.3 ikilinganishwa na wastani wa asilimia 3 Aidha mfumuko wa bei kwa mwaka unaoishia mwezi Mei, 2023 umebaki kama ilivyokuwa kwa mwaka unaoishia mwezi Mei, 2022 ikiwa ni wastani […]