FEATURE
on Jan 23, 2025
101 views 2 mins

Na Mwandishi Wetu MoHA-Dodoma Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa ameeleza kuwa Jeshi la Polisi litaendelea kutekeleza jukumu lake la kikatiba kwa kusimamia usalama katika mikutano na shughuli za Vyama vya Siasa bila kujali itikadi ya Chama cha Siasa chochote. Amelipongeza Jeshi la Polisi kwa kusimamia ulinzi na usalama kwa Vyama vyote […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Jan 23, 2025
120 views 2 mins

๐Ÿ“ Mataifa mbalimbali yafurika Hifadhi ya Urithi wa Dunia Kilwa Kisiwani Na Beatus Maganja, Kilwa. Kazi kubwa ya kutangaza vivutio vya utalii vya nchi yetu duniani iliyofanywa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan inaendelea kudhihirika na kishindo chake kutikisa katika Hifadhi ya Urithi wa Utamaduni wa Dunia ya […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Jan 22, 2025
94 views 2 secs

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Jan 21, 2025
119 views 3 mins

๐Ÿ“ŒAzindua dira ya miaka 50 ya CBE (2025 – 2075) ๐Ÿ“ŒAsisitiza matumizi ya teknolojia za kisasa, zinazojibu changamoto za jamii ๐Ÿ“ŒTaasisi za elimu ya juu zatakiwa kuweka mkazo mafunzo ya ujasiriamali Vyuo na taasisi zinazotoa elimu ngazi ya Kati ikiwemo Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE), zimetakiwa kuboresha mitaala yake ya masomo ili iendane na […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Jan 21, 2025
99 views 5 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, imeendelea kufanya uwekezaji mkubwa katika Mamlaka ya Hali ya Hewa nchini ikiwemo upande wa miundombinu ya uangazi wa hali ya hewa na kujenga uwezo wa wafanyakazi. Kauli hiyo imetolewa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, leo (Jumanne, Januari 21, […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Jan 21, 2025
145 views 2 mins

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa ameapishwa na Kaimu Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu Tanzania, Kanda ya Dodoma, Edwin Kakolaki kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Jeshi la Polisi, Magereza, Zimamoto na Uokoaji na Idara ya Uhamiaji, leo tarehe 21 Januari 2025 katika Mahakama Kuu ya Tanzania, Kituo Jumuishi cha Utoaji wa Haki […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Jan 21, 2025
106 views 17 secs

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA ๐Ÿ“ŒAsema ilijengwa wakati mahitaji yakiwa kidogo ๐Ÿ“ŒVijiji vyote vimefikiwa na umeme Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati,ย  Mhe. Dkt. Doto Biteko amesema miundombinu iliyopo ya kusambaza umeme ni ya muda mrefu na Serikali tayari imeshaanza kazi ya kuibadilisha. Dkt. Biteko ameyasema hayo wakati akiwa katika kipindi cha dakika 45 ITV […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Jan 21, 2025
113 views 7 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA -DODOMA CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kipi kwenye hesabu kali hasa baada ya kukamilisha uteuzi wa wagombea wake wa urais kwa upande wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (CCM) Hatua hiyo ya kufanya uteuzi wa wagombea wake mapema unakwenda kuakisi kwamba chama hicho tawala nchini, kimedhamiria kushinda […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Jan 21, 2025
111 views 53 secs

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA -DAR ES SALAAM MKUTANO Mkuu Maalumu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) uliofanyika Dodoma Januari 18 na19, mwaka huu umewateua Mwenyekiti wa CCM, Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwa mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya chama hicho, Dkt. Hussein Ali Mwinyi kuwamgombea urais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Jan 20, 2025
98 views 6 mins

Na MWANDISHI WETU -DODOMA NI Samia tena urais 2025-2030. Ndivyo unavyoweza kusema hasa baada wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Taifa wa Chama Cha Mapinduzi kumpitisha kuwa mgombea wa urais wa chama hicho tawala. Hatua hiyo ya kufikia uamuzi wa kutaka kuwapitisha kuwa wagombea wa urais kwa upande wa Bara na Zanzibar kama njia muhimu ya […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...