FEATURE
on Oct 16, 2024
191 views 2 mins

Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM IMEBAINIKAย  kuwa idadi ya wanyamapori Duniani imepungua kwa asilimia 73 katika kipindi cha miaka 50 iliyopita Afrika, kwa .upande wake, imeshuhudia upungufu wa asilimia 76, huku sababu kuu zikiwa ni uharibifu wa makazi, uchafuzi wa hali ya hewa utokanao na viwanda, mabadiliko ya matumizi ya ardhi, ukataji miti uliokithiri, […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Oct 16, 2024
197 views 33 secs

Na Happiness Shayo ARUSHA Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi, Dkt. Pindi Chana (Mb) ameielekeza menejimenti ya Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro kubuni mikakati ya kuongeza mapato yatokanayo na Utalii ikiwa ni maelekezo ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan. Ametoa kauli hiyo leo Oktoba 16,2024 alipokuwa akizungumza […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Oct 16, 2024
260 views 3 mins

Na Happiness Sam KILIMANJARO Waziri wa Nchi ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Ridhiwani Kikwete, jana Oktoba 15, 2024 amepokea Mwenge wa Uhuru na kuukabidhi kwa Wanajeshi wa Jeshi la Wananchi wa Tanzaniaย  (JWTZ) katika Hifadhi ya Taifa Kilimanjaro kwa ajili ya kuupandisha katika kilele cha mlima Kilimanjaro, ikiwa ni […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Oct 16, 2024
206 views 2 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Asema hakuna vituo vya aina hiyo katika andikishaji wapiga kura, aweka wazi uandikishaji unafanyika kwenye vituo 80,812 nchini -MWANZA WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mohamed Mchengerwa amesema taarifa zinazosambaa mitandaoni kuhusu uwepo wa vituo bandia vya kuandikisha wapigakura wa Serikali za Mitaa […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Oct 15, 2024
197 views 20 secs

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Awaasa kuchagua viongozi watakaowatumikia kwa weledi* Naibu Waziri Nishati na Mbunge wa Viti Maalum Vijana Taifa, Mhe. Judith Kapinga amewahamasisha wananchi katika Wilaya ya Mbinga mkoani Ruvuma kujitokeza kwa wingi katika zoezi  la kujiandikisha kwenye Daftari la Kudumu la Wapiga Kura ili waweze kuchagua viongozi watakaowaletea maendeleo. Mhe. Kapinga amesema hayo […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Oct 15, 2024
191 views 56 secs

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Aiasa jamii kuwa na mtazamo chanya juu ya Nishati Safi ya Kupikia* Asema viongozi wataendelea kuhamasisha  Nishati Safi ya Kupikia* Naibu Waziri Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu, (Sera, Bunge na Uratibu) Mhe. Ummy Nderiananga amesema kuwa matumizi ya nishati safi ya kupikia yanaenda kuwaokoa  watu wenye mahitaji maalum na kadhia zinazotokana […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Oct 15, 2024
256 views 5 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA -MWANZA RAIS Samia Suluhu Hassan amesema hawezi kuwaacha vijana katika uongozi wake na ndio maana amechagua viongozi wengi vijana wanaomsaidia kazi Serikalini, na hivyo kuahidi kushikana nao bega kwa bega. Kauli hiyo aliitoa jana Jijini Mwanza wakati wa akihutubiamaelfu ya wananchi katika sherehe za kilele cha mbio za Mwenge wa Uhuru […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Oct 14, 2024
206 views 5 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA -GEITA RAIS Samia Suluhu Hassan amesema sekta ya madini nchini inachangia asilimia 56 ya fedha yote ya kigeni inayoingia nchini kila mwaka, na hivyo ni sekta muhimu kwa ukuaji wa uchumi, Kauli hiyo aliitoa jana mjini Geita, wakati akihutubia wakati akifunga maonesho ya saba ya Kitaifa ya Teknolojia ya Madini mkoani […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Oct 14, 2024
136 views 4 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA _Awataka kushindana kwa hoja, akiwakabidhi jukumu zito Serikali za Mitaa_ _Asema โ€œCCM itawashinda kwa namna ambavyo hawajawahi kushindwaโ€_ Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, ametoa wito kwa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) pamoja na jumuiya nyingine za chama hicho kuendelea kushindana kwa hoja na […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...