FEATURE
on Oct 1, 2024
334 views 4 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Asema ikiwa jamii haifanya hivyo kuna hatari ya kuzalisha viongozi katili kwa Taifa la kesho, aipongeza NMB kuunga mno kampeni ya Mtoto wa leo Samia wa kesho TANGA NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dkt.Doto Biteko amewataka wazazi na walezi nchini kuhakikisha wanalea watoto wao katika misingi iliyo bora ili […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Oct 1, 2024
278 views 2 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA DODOMA MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Dodoma, imewahukumu kifungo cha maisha gerezani washtakiwa wanne maarufu ‘waliotumwa na afande’, baada ya kuwatia hatiani kwa kosa la kubaka kwa kundi na kumwingilia kinyume cha maumbile binti, mkazi wa Yombo Dovya, jijini Dar es Salaam. Ni katika kesi ya jinai namba 23476 ya mwaka 2024 […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Oct 1, 2024
193 views 6 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Asema aliishi maisha uaminifu, nidhamu na uchapakazi, kitabu cha maisha ya Edward Sokoine chazinduliwa rasmi Singo aeleza nyakati ngumu wakati wa uandishi wa kitabu na namna alivyojikuta amefika ofisini kwa Rais Samia bila kujua DAR ES SALAAM RAIS Samia Suluhu Hassan amewataka viongozi wa kisiasa, watendaji wakuu na vijana wa vyama […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Sep 30, 2024
163 views 2 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA WAZIRI CHANA AKAGUA MIRADI YA KIMKAKATI HIFADHI YA TAIFA NYERERE Waziri wa Maliasili na Utalii,   Mhe. Balozi, Dkt. Pindi Chana amekagua maboresho ya miradi mbalimbali ya kimkakati katika Hifadhi ya Taifa ya Nyerere Mkoani Ruvuma. Akiwa katika ziara hiyo leo, Septemba 29, 2024 Mhe. Chana amekagua ujenzi wa kiwanja cha ndege, […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Sep 28, 2024
191 views 2 mins

Na Lusungu Helela DODOMA Naibu Waziri Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora   Mhe. Deus Sangu  ameitaka  Mamlaka ya Serikali Mtandao (eGA)  kushiriki kwenye Maonesha mbalimbali ya Ubunifu ili kuonesha uzuri wa mifumo iliyobuniwa pamoja na umahiri wa vijana walioandaliwa na Taasisi hiyo ili vijana hao waweze kupata soko kwenye Sekta […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Sep 27, 2024
290 views 8 secs

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe.Balozi, Dkt. Pindi Chana amesema Serikali imejidhatiti katika utatuzi wa changamoto ya migongano kati ya wanyamapori na binadamu chini ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan. Ameyasema hayo leo Septemba 27, 2024  katika Semina ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Sep 27, 2024
193 views 54 secs

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA -Awataka viongozi ngazi za Mitaa na Kata kuunga mkono juhudi za Mhe Rais kwa kuisemea vizuri miradi hiyo. -Atoa Rai kwa wakazi wa DSM kushiriki uchaguzi wa Serikali za mitaa Novemba 2024 Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mhe. Albert Chalamila, leo Septemba 27, 2024 amemshukuru Rais wa Jamhuri ya […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Sep 27, 2024
198 views 2 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Asema Ajenda ya Nishati Safi ya Kupikia inalenga zaidi Wanawake Afrika Atilia mkazo Taasisi zinazolisha Watu kuanzia 100  kutumia Nishati Safi ya Kupikia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt.  Samia Suluhu Hassan amesema sasa ni wakati wa Bara la Afrika kubadilika kwa kutumia Nishati Safi ya Kupikia ili […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Sep 27, 2024
270 views 3 mins

Na.Lusungu S. Helela- Kibakwe Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Deus Sangu amewataka Wazazi kutimiza jukumu la malezi ya Watoto   badala ya kuwaachia  walimu pekee yao  kutokana na wimbi kubwa la mmonyoko wa maadili linaloikumba jamii. Amesema malezi ya wazazi kwa watoto ni muhimu sana hususan katika […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Sep 27, 2024
190 views 52 secs

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Chama cha Wafanyakazi wa Serikali na Afya Tanzania (TUGHE) kimesema kuwa kitaendelea kushirikiana kwa karibu na Uongozi wa Taasisi ya Saratani ya Ocean Road ili kuboresha maslahi ya Watumishi wake pamoja na kuchangia katika ustawi wa Taasisi hiyo. Ahadi hiyo imetolewa na Makamu Mwenyekiti wa TUGHE Taifa, Dkt. Jane Madete alipokuwa […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...