FEATURE
on Aug 22, 2024
269 views 24 secs

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Okoa maisha ya uwapendao kwa kuacha matumizi ya nishati zisizo safi za mkaa, kuni na nyinginezo. Matumizi ya nishati zisizo safi husababisha athari za kimazingira zinazopelekea mabadiliko ya tabianchi kama kuongezeka kwa joto, mvua zisizokuwa na mpangilio, ukameย  pamoja na uharibifu wa mfumo wa ikolojia.

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Aug 22, 2024
291 views 51 secs

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Kamati za Usalama, Viongozi wa Chama na Serikali, Wenyeviti mitaa/Vijiji na Madiwani wa Wilaya ya Kisarawe na Ubungo Leo Wamekutana kutatua Kero na Changamoto ya MIPAKA katika Maeneo ya MLOGANZILA NA KISOPWA – KINGANZI B Kikao kazi Kimeazimia Kufanyika kwa Mkutano wa Hadhara katika eneo lenye mgogoro ili kutoa elimu kwa […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Aug 22, 2024
227 views 2 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Lengo ni kuimarisha unganishwaji wa huduma ya umeme katika maeneo yote nchini Naibu Waziri Nishati, Mhe. Judith Kapinga amesema Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan amedhamiria kila mtanzania kupata umeme kwenye nyumba yake kuanziaย  ngazi za mikoa mpaka vitongoji. Mhe. Kapinga amesema hayo Agosti 21, 2024 […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Aug 22, 2024
245 views 23 secs

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila leo Agosti 22, 2024 amekutana na timu ya wataalam kutoka Mamlaka ya Usimamizi wa Bima Tanzania (TIRA) Ofisini kwake Ilala Boma. RC Chalamila pamoja na mambo mengine alipata wasaa wa kufanya mazungumzo na timu hiyo ikiongozwa na Kamishna wa Bimaย  Dkt […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Aug 22, 2024
284 views 49 secs

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii ikiongozwa na Mwenyekiti Mhe. Timotheo Mnzava (Mb) leo Agosti 22,2024 Bungeni jijini Dodoma, imepokea taarifa mbalimbali za utekelezaji wa majukumu ya Wizara ya Maliasili na Utalii ikiwemo taarifa ya Maandalizi ya Mkutano Mkuu wa 50 wa Shirikisho la Wafugaji Nyuki Duniani […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Aug 22, 2024
142 views 3 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGtA Kondoa, Dodoma Imeelezwa kuwa kujengwa kwa daraja la mto Hurui lenye urefu wa mita 30 lililopo katika kijiji cha Hurui kata ya Kikore wilayani Kondoa mkoani Dodoma limekuwa msaada mkubwa kwa wananchi waliokuwa wanapata adha ya muda mrefu ya usafiri kutokana na kukosekana kwa daraja baada ya daraja la awali kusombwa […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Aug 22, 2024
197 views 2 mins

Na. Beatus Maganja Mtangazaji nguli, na mwandishi wa habari mashuhuri Africa Mashariki na Kati aliyekuwa akitangaza kipindi cha Dira ya Dunia katika Shirika la Utangazaji la Uingereza (BBC) ambaye kwasasa anafanya kazi  na Redio/TV ya Crown  FM/TV iliyopo nchini, Salim Kikeke amesema uwepo wa Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori nchini – TAWA katika Tamasha la […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Aug 21, 2024
252 views 3 mins

Na Mahamudu Jamal – WMA Meneja wa Viwango na Uhakiki, Wakala wa Vipimo Tanzania (WMA), Magesa Biyani ametoa rai kwa wabunifu wa vipimo pamoja na teknolojia mbalimbali zinazohusiana na uhakiki wa vipimo kuchangamkia fursa kwani sekta hiyo inakua kwa kasi jambo linalokwenda sambamba na uhitaji wa vipimo vya kisasa na teknolojia mpya za uhakiki wake. […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Aug 21, 2024
269 views 2 mins

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Yatoa huduma moja kwa moja kwa Wananchi kupitia Taasisi zake Nishati safi ya kupikia, yawa ajenda ya kuvutia Zanzibar. Wizara ya Nishati pamoja na Taasisi zake leo Agosti 21, 2024 zimeshiriki katika Tamasha la Kizimkazi (Kizimkazi Festival) yanayoendelea kwenye kijiji cha kizimkaziย  wilaya ya Kusini mkoa wa Kusini Kisiwani Zanzibar. Katika […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Aug 21, 2024
373 views 51 secs

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa (Mb) leo tarehe 21 Agosti 2024 atafungua Kongamano la tisa (9) la Wahandisi Wanawake nchini linalofanyika Katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere Dar es Salaam (JNICC). Kongamano hilo linafanyika siku mbili kwa kuwakutanisha wanataaluma, wahandisi wanawake pamoja na wanafunzi wanaosoma masomo ya Sayansi […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...